Kanisa la Roho Mtakatifu ni Kanisa la Kipentekoste au Kanisa Linaloendeshwa na Roho lenye makao yake makuu jijini Dar Es Salaam, Tanzania. Tunawafundisha na Kuwatayarisha watu wa Mataifa Yote kujua kuhusu Ufalme wa Mungu na uadilifu wa Ufalme huo, kumjua Yesu Mfalme, kumjua Roho Mtakatifu ambaye ni Gavana wetu na kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli.
Hakimiliki © 2023 Kanisa la Roho Mtakatifu. Haki Zote Zimehifadhiwa
Iliyoundwa na WebDevelopa.
Acha Jibu