TUJITAKASE MWILI NA ROHO

Posted by

Bishop Sedekia

Holy Spirit International Church (HSIC) -Dar Es Salaam

Kwa mujibu wa Biblia, Utakaso unafanyika kwenye mwili na roho

Na kama mwili unatakaswa na nguo pia hutakaswa.

Wengi husema, Mungu anaangalia moyo tu. Lakini ukweli ni kwamba, Mungu huangalia moyo safi na mwili safi.

Kutokana na kitabu cha 2Wakorintho 7

2Korn 7:1

Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.

Mungu anaangalia utakaso

Utakaso wa roho

Mawazo yatokayo ktk roho ya mwanadamu. Enendeni kwa roho

Utakaso wa mwili

Utakaso wa mavazi

Utakaso wa vitu

Utakaso wa mawazo

Paulo anasema; SIJUTII WARAKA ULE

2KOR 7:8-9

8Kwa sababu, ijapokuwa naliwahuzunisha kwa waraka ule, sijuti; hata ikiwa nalijuta, naona ya kwamba waraka ule uliwahuzunisha, ingawa ni kwa kitambo tu. 9Sasa nafurahi, si kwa sababu ya ninyi kuhuzunishwa, bali kwa sababu mlihuzunishwa, hata mkatubu. Maana mlihuzunishwa kwa jinsi ya Mungu, ili msipate hasara kwa tendo letu katika neno lo lote.

Deixe uma resposta

Your email address will not be published. Os campos obrigatórios estão marcados *